Kenyans Live

Uhaba wa maji Maralal kaunti ya Samburu walazimu wakazi kununua kwa bei ghali

Description (show more)

Wakazi na wafanyabiashara katika mji wa Maralal, Kaunti ya Samburu, wanaendelea kukabiliwa na uhaba wa maji, hali inayowalazimu kununua bidhaa hiyo kutoka kwa wauzaji binafsi kwa bei ghali.

Share: