Upinzani wataka matokeo ya urais kutangazwa moja kwa moja kutoka vituoni
Description (show more)
Wanasiasa wa upinzani, wakiongozwa na kinara wa Jubilee Fred Matiang’i na mwenzake wa PPK Ndindi Nyoro, wamesisitiza kuwa hawatakubali kuingiliwa kwa uendeshaji wa IEBC na upeperushaji wa moja kwa moja wa matokeo ya urais katika uchaguzi mkuu ujao. Wamesema ni lazima matokeo ya uchaguzi yapeperushwe moja kwa moja kutoka vituoni, kama yalivyotangazwa katika vituo vya kupigia kura. Viongozi hao pia wamekanusha madai kuwa upinzani umegawanyika, wakisema wameungana kumwondoa Rais William Ruto mamlakani Agosti mwaka ujao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:39CPA Evans Ogutu: Kaka duond bura mar ODM, wan gi ji ma nyaka waor e sirkal.
55:50Youth & Politics:
· 1 views
3:57Mtihani wa kitaifa wa KCSE wang'oa nanga West Pokot
· 3 views
1:46:27Ũteti na Ũtongoria wa Bũrũri #Kĩmũrĩ
· 3 views
2:40Kenya Yatuma Vikosi 13 Dakar, Baseball5 Yafuzu Nusu Fainali
· 4 views
34:49| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 1]
· 42 views
1:44Zaidi ya watahiniwa 7000 Turkana wafanya mtihani wa KCSE
20:03| UKUMBI | Siasa za kiti cha urais [Part 3]
· 26 views
