Kenyans Live

Chama cha Wamiliki wa Malori Chazindua Tuzo za Madereva

Description (show more)

Chama cha Wamiliki wa Malori nchini, TAK, kimezindua tuzo za kutambua madereva na wadau wanaofanya vyema katika sekta ya usafirishaji mizogo, kwa lengo la kuchochea ushindani wa kimaendeleo na kuimarisha usalama barabarani.

Share: