Kenyans Live

Upinzani wadai njama ya wizi wa kura kuelekea uchaguzi wa 2027

Description (show more)

Baadhi ya viongozi wa upinzani chini ya kundi la Mageuzi ya Uchaguzi wanadai kuwepo kwa njama ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Wakiongozwa na Jaji Mkuu mstaafu David Maraga, viongozi hao wamekosoa Bunge kwa kushindwa kurekebisha mswada wa uchaguzi, wakisema hatua hiyo inaweza kudhoofisha uwazi katika uchaguzi. Wametishia kurejesha mswada huo Bungeni ili kushinikiza marekebisho wanayoyataka. Seth Olale ana taarifa kamili.

Share: