Kenyans Live

Wamiliki wa magari kaunti ya Busia walalamikia ubovu wa barabara

Description (show more)

Wamiliki wa magari wanalalamikia ubovu wa barabara nyingi katika kaunti ya Busia wakisema hali hiyo husababisha ajali nyingi na maafa. Mojawapo ya barabara hizo ni ile ya kutoka Busia kuelekea Kisumu ambayo sehemu nyingi zimeharibika .

Share: