Kenyans Live

Vijana wa Chama cha The People's Party wapinga mswada wa elimu ya juu

Description (show more)

Muungano wa vijana wa Chama cha The People's Party unapinga mswada wa elimu ya juu, nafasi za wanafunzi kwenye vyuo na taasisi pamoja na ufadhili wa mwaka 2026, ukitaka marekebisho muhimu kutekelezwa, mojawapo ya marekebisho hayo yakiwa ni kuondolewa kikamilifu kwa riba za mikopo ya wanafunzi. Haya na mengine mengi ni katika mkusanyiko wa taarifa za dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: