Kenyans Live

Mwanafunzi John Midigo apotea Kasarani, familia yatoa wito wa msaada

Description (show more)

Maafisa wa polisi na familia katika maeneo ya ongata rongai na kasarani wameanzisha msako wa kumtafuta kijana john midigo, mwenye umri wa miaka 20, aliyetoweka mnamo septemba 14, 2026.

Share: