Kenyans Live

Naibu rais awasuta wapinzani kwa kuendeleza siasa potovu

Description (show more)

Naibu rais Prof. Kithure Kindiki amewahimiza viongozi wa kisiasa wanaopania kuwania nyadhifa za uongozi  kuangazia utenda kazi wao wa maendeleo badala ya kutusiana. Akizungumza baada ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo  katika eneo bunge la Mwea, kaunti ya Kirinyaga, Prof. Kindiki alisema amejiandaa kuwajibikia mchango wake katika ustawi wa taifa hili  kipindi ambacho amehudumu serikalini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: