Kenyans Live

KeNHA: Upanuzi wa barabara kuu kilomita 2,500 kupunguza ajali

Description (show more)

Halmashauri ya Kitaifa ya Barabara Kuu, KeNHA, imesema ukosefu wa fedha za kutosha ni miongoni mwa changamoto zinazokwamisha juhudi za kuboresha viwango vya barabara nchini. KeNHA inasisitiza kuwa upanuzi wa takriban kilomita 2,500 za barabara kuu nchini utachangia pakubwa katika kupunguza visa vya ajali barabarani. Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, uwekezaji zaidi katika upanuzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara ni muhimu katika kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Seth Orlale anatuarifu zaidi.

Share: