Kenyans Live

Wakongwe eneo la Manga Isecha Kitutu Masaba kaunti ya Nyamira wapata huduma za afya bila malipo

Description (show more)

Huku Wakenya wakifurika katika viwanja tofauti kusherehekea siku ya mashujaa Dei, wakazi wa eneo la Manga Isecha Kitutu Masaba hususan wakongwe walijitokeza kupewa matibabu ya bure.

Share: