Kenyans Live

Naibu balozi Andrew Barnes aelezea imani kuwa Kenya itaandaa uchaguzi wa amani

Description (show more)

Naibu balozi wa Australia nchini Kenya Andrew Barnes ameelezea imani kuwa Kenya itaandaa uchaguzi mkuu wa amani mwakani. Barnes alisisitiza kuwa mchakato wa uchaguzi wa amani ni muhimu katika kuhakikisha Kenya inasalia tulivu hata baada ya mwaka 2027. Aliyasema hayo kwenye ubalozi wa Australia jijini Nairobi wakati wa uzinduzi wa ripoti ya kimataifa ya amani ya mwaka 2026. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: