Kenyans Live

Familia moja kaunti ya Vihiga yaishi kwa hofu baada ya afisa wa polisi kutoweka kwa njia tatanishi

Description (show more)

Familia moja eneo la Ebuayangu, kaunti ndogo ya Emuhaya, kaunti ya Vihiga, inaishi kwa hofu baada ya jamaa yao ambaye ni afisa wa idara ya polisi kutoweka kwa njia tatanishi.

Share: