Ruto amshambulia Sifuna kuhusu mkataba wa Dangote, asema hatakubali mradi kuvurugwa
Description (show more)
Rais William Ruto amemkosoa kiongozi wa Linda Mwananchi na Seneta Edwin Sifuna, akimtuhumu kwa ufisadi na kudai kuwa anatumiwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kushinikiza kuwekwa wazi kwa mkataba wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi kinachopendekezwa na mfanyabiashara Aliko Dangote. Akizungumza Taita Taveta na Mombasa, Rais Ruto amesema hatakubali mradi huo kuvurugwa. Aidha, amedai kuwa mradi wa Dangote wa kiwanda cha saruji uliwahi kushindwa kuanza nchini Kenya kutokana na baadhi ya maafisa wa serikali kudai hongo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
29:18LIVE | GASET KAWUONO | 4/11/2026
56:29Gachagua Ajenga Akibomoa? | Magazetini #FixingTheNationNTV
· 44 views

LIVE | #RAMOGITVLIVE
3:21:00LIVE: Good Morning Kenya II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 3.2K views
11:54:59Citizen TV Live:
· 965K views
1:16:18🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 819 views
22:31LIVE: Kurunzi Mashinani naye Sheila Yogo II 3rd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 506 views
2:29Kenya women’s rugby team clinches historic Youth Olympic gold
· 941 views
