Mwili mmoja wapatikana katika vifusi vya jumba lililoporomoka Eastleigh
Description (show more)
Mwili mmoja umetolewa kutoka kwenye vifusi vya jumba la ghorofa 18 katika mtaa wa Eastleigh, siku nane baada ya jumba hilo kuporomoka. Vipande vya mwili vilivyopatikana mapema leo vinakisiwa kuwa vya mmoja kati ya watu 16 ambao hawajulikani waliko. Haya yanajiri huku uchunguzi wa hivi punde ukifichua kuwa huenda mwanakandarasi aliyehusika katika ujenzi wa jumba hilo hakuhitimu na alitumia stakabadhi za jamaa yake kupata vibali vya ujenzi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:03Broad-based leaders defend “Usawa ni Sawa” message
4:53Jakom ODM Gladys Wanga osiro ajenda mar 'Usawa ni Sawa' | #RamogiTV
4:40KTN EXCLUSIVE: Inside the 390-Page Bomas Contract as Project Cost Hits KSh41.9 Billion
· 34 views
4:19Kalonzo rejects joining the Kenya Kwanza administration
· 4 views
4:11Rescue operation at collapsed Eastleigh building enters its tenth day
· 16 views
24:52Earthwise | Exploring Kenya's new livestock microchip tag and real-time national database
· 104 views
2:34University ya Embu gwĩkĩrĩra gũkũria kĩgĩna gĩa gũteithia arutwo arĩa matehotete
· 16 views
31:02CITIZEN NIPASHE WIKENDI ~ 1ST NOV , 2026
· 16.5K views
