Kenyans Live

Wakazi wa Teso kaskazini wamuomboleza rubani Alex Oluka

Description (show more)

Wingu la majonzi limetanda eneo bunge Teso Kaskazini kaunti ya Busia baada ya kifo cha rubani chipukizi mwenye umri wa miaka 24 Kapteni Alex Oluka, kwenye ajali ya ndege wiki jana.

Share: