Kenyans Live

Kaunti ya Kajiado yaanza kusafisha mabomba ya maji kukabili el niño

Description (show more)

Kaunti ya Kajiado imeanza kusafisha mabomba ya maji katika eneo la Embulbul, Kajiado Kaskazini, katika juhudi za kukabiliana na athari zinazoweza kusababishwa na mvua ya El Niño.

Share: