Kenyans Live

Gachagua aahidi vita vikali dhidi ya ufisadi iwapo upinzani utaingia madarakani

Description (show more)

Kinara wa Chama cha DCP Rigathi Gachagua ameahidi kuvipa kipaumbele vita dhidi ya Ufisadi serikalini ikiwa wakenya watauchagua upinzani kuliongoza taifa, akidai ufisadi ndio chanzo kikuu cha wakenya wanaoishi ughaibuni, kutowekeza nyumbani. Akitoa ahadi hiyo alipohudhuria ibada ya jumapili kanisani Victory Chapel huko Dallas Marekani, gachagua amesema kukithiri kwa ufisadi kwenye vitengo tofauti vya serikali kumewatia kiwewe wawekezaji wengi, na kuwashinikiza kuelekeza biashara zao kwingineko.

Share: