Kenyans Live

Kenya yaungana na dunia kuhamasisha usafi wa mikono

Description (show more)

Kenya imeungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya kunawa mikono ulimwenguni huku ikibainika kuwa asilimia 60 ya vifo vya watoto husababishwa na magonjwa yanayohusishwa na uchafu. wizara ya afya imewataka wakenya kujizoesha kunawa mikono kwa maji safi na sabuni kila wakati ili kupunguza magonjwa yanayosababishwa na uchafu .

Share: