Kenyans Live

Wadau katika sekta ya utalii nchini wataka kuboreshwa kwa miundombinu ya utalii

Description (show more)

Wadau katika sekta ya utalii nchini wanataka kuboreshwa kwa miundombinu hasa maeneo ya mikutano na utoaji huduma ili kuliwezesha taifa kutoa ushindani katika soko la kimataifa.

Share: