Kenyans Live

Wakazi wa mashinani kaunti ya Kajiado walazimika kutembea kilomita nyingi kutafuta huduma za afya

Description (show more)

Huduma za matibabu katika sehemu za mashinani zinakubwa na changamoto kubwa katika kauti ya Kajiado, huku wakazi wakilazimika kutembea kilomita nyingi kupata huduma hizo.

Share: