Kenyans Live

Wachapishaji wataka serikali kuondoa ushuru wa 16% kwa vitabu

Description (show more)

Wachapishaji vitabu nchini sasa wanataka serikali kuondoa kodi ya asilimia 16 kwa vitabu wakisema hii tu ndio itawezesha kupungua kwa gharama ya vitabu na masomo nchini

Share: