Kenyans Live

Gavana wa Nakuru Susan Kihika awaonya wazazi dhidi ya kuwanyima watoto elimu

Description (show more)

Gavana wa Nakuru Susan Kihika amewaonya wazazi huko Mau Narok dhidi ya kuwanyima watoto wao fursa ya kwenda shule na badala yake kuwafanyisha kazi ya sulubu mashambani.

Share: