Kenyans Live

Familia ya Victor Kipkorir kutoka eneobunge la Bureti kaunti ya kericho yaomba msaada wa matibabu

Description (show more)

Familia moja kutoka kijiji cha Chepkongony, eneobunge la Bureti, inaomba msaada wa kifedha kumwezesha mwana wao Victor Kipkorir, kufanyiwa upasuaji wa moyo.

Share: