Kenyans Live

Ruto amshutumu Uhuru kwa kuhujumu serikali

Description (show more)

Rais William Ruto amezidisha mashambulizi yake dhidi ya mtangulizi wake, Rais mstaafu Uhuru Kenyatta, akisema anahujumu serikali yake. Akizungumza baada ya kukamilisha ziara yake katika eneo la Nyanza leo, Rais Ruto alirejelea ahadi ya Kenyatta ya “yangu kumi na Ruto kumi”, akisema licha ya ahadi hiyo, Kenyatta alimsaliti na kumpigia debe mgombea mwingine kuwa rais.

Share: