Kenyans Live

IEBC yatakiwa kuhakikisha walemavu wanapiga kura bila vikwazo

Description (show more)

Wadau wa masuala ya ulemavu sasa wanaitaka IEBC kuweka mazingira bora yatakayowawezesha watu wenye ulemavu wa kusikia kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.

Share: