Kenyans Live

Vijana Busia wapewa fursa ya kujifunza katika vyuo vya ufundi

Description (show more)

Kaunti ya Busia iko mbioni kutumia vyuo vya ufundi kuwawezesha wasanii kuunda na kuzalisha maudhui, katika juhudi za kukuza uchumi kupitia ubunifu katika Kaunti ya Busia.

Share: