Kenyans Live

Waathiriwa wa saratani Kisii waandaa msafara kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa huo

Description (show more)

Mamia ya waathiriwa wa ugonjwa wa Saratani wameandaa msafara wa amani katika barabara kadhaa za mji wa Kisii kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa huo wakitaka waathiriwa kuelimisha wengi hususan kutoka vijijini dhidi ya dhana potovu kuhusu ugonjwa huo.

Share: