Kenyans Live

Wahudumu wa hoteli Nandi wafunzwa kuhudumia watalii

Description (show more)

Wahudumu wa hoteli katika Kaunti ya Nandi wamepatiwa mafunzo kuhusu namna bora ya kuwahudumia watalii.

Share: