Kenyans Live

Busia: Maafisa wa afya wa UHC waandamana kulalamikia kupunguzwa kwa mishahara yao

Description (show more)

Maafisa wa afya walio chini ya mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika Kaunti ya Busia wameandamana hadi katika ofisi ya Gavana, Dkt. Paul Otuoma, wakilalamikia kupunguzwa kwa mishahara Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya