Kenyans Live

Busia: Usalama waboreka Nambale baada ya serikali kujenga afisi mpya ya msaidizi wa naibu kamishna

Description (show more)

Huenda visa vya ukosefu wa usalama na wizi wa mifugo vilivyokithiri katika eneo bunge la Nambale, Kaunti ya Busia, vikafikia kikomo baada ya serikali kujenga afisi mpya ya msaidizi wa naibu kamishna, afisi ya chifu na kuanzisha divisheni mpya ya Bukhayo ya Kati. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya