Kenyans Live

Stephen Kiano ashinda mashindano ya gofu ya Royal Media

Description (show more)

Stephen Kiano wa Thika Golf Club ameibuka mshindi katika mashindano ya gofu yaliyoandaliwa na kampuni ya Royal Media Services katika uwanja wa Muthaiga Golf Club. Mashindano hayo yalilenga kuwakutanisha wateja, wafadhili na washirika wa Royal Media Services kwa ajili ya kujenga urafiki na kuimarisha mahusiano ya kibiashara.

Share: