Kenyans Live

Ruto akanusha njama ya kusitisha utangazaji wa moja kwa moja wa matokeo ya uchaguzi

Description (show more)

Rais William Ruto amekanusha madai kuwa kuna njama ya kusitisha utangazaji wa moja kwa moja wa matokeo ya uchaguzi mkuu. Aidha, Rais Ruto, akizungumza wakati wa ziara yake ya Ukambani leo, amemtaja Mbunge wa Kiharu na kinara wa chama cha People’s Party of Kenya, Ndindi Nyoro, kuwa tapeli anayelenga kuwazuia wawekezaji wa kigeni kufanya biashara nchini. Seth Olale ana taarifa kamili.

Share: