Kenyans Live

Naibu rais Kithure Kindiki asema mageuzi ya kilimo na ufugaji ya Kenya Kwanza yamezaa matunda

Description (show more)

Naibu wa rais kithure kindiki amesema mabadiliko makubwa katika sekta ya kilimo na ufugaji yaliyoasisiwa na serikali ya kenya kwanza yamezaa matunda.

Share: