Kenyans Live

Katibu wa huduma za Afya Ouma Oluga ahimiza ushirikiano kupambana na mimba za mapema shuleni

Description (show more)

Katibu wa huduma za Afya, Ouma Oluga, ametoa wito wa ushirikiano kati ya wakuu wa shule na maafisa wa utawala wa serikali ya kitaifa katika kupambana na jinamizi la mimba za mapema .

Share: