Rais Ruto aidhinisha nyongeza ya mgao wa ziada kwa kaunti
Description (show more)
Rais William Ruto ameidhinisha muswada wa mgao wa ziada wa serikali za magatuzi wa mwaka 2026 katika ikulu ndogo ya Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Sheria hiyo inaongeza mgao wa ziada wa serikali za magatuzi kutoka shilingi bilioni 70.67 katika mwaka wa kifedha wa 2025/2026 hadi shilingi bilioni 71.09 katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027, hili likiwa ni ongezeko la shilingi milioni 425.6 Kiongozi wa taifa alisema fedha hizo, zilizotokana na mapato ya serikali ya kitaifa yanayoweza kugawanywa, haki za kisheria, mikopo na ufadhili kutoka kwa washirika wa maendeleo, zitatumika kupiga jeki huduma ya afya, kilimo, kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi pamoja na janga la ukame miongoni mwa mipango mingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:01:07Kalonzo: See You At The Ballot; ODM Irreducible Minimums To UDA || TV47 Breakfast || 02.11.2026
46:35From Kickbacks to inflated costs: How Bomas is being bartered for billions in secret contract
2:51Odera Odhiambo: Linda Mwananchi: National or Western Kenya party?
52:14LIVE | SIWANDHA MAR TUKE 2/11/2026
52:51| DAY BREAK | 2027: Terms and conditions
5:00Daniel Orogo: ODM is the one courting Sakaja for the Nairobi Governor ahead of 2027
1:32:30Kũmuramura Magathĩti (02/11/2026) #iNooroRũciinĩ
4:25