Kenyans Live

Watu kadhaa wahofiwa kunaswa baada ya jumba la ghorofa 18 kuporomoka Eastleigh

Description (show more)

Jioni ya leo, tunaanza taarifa zetu na mkasa wa jumba la ghorofa 18 lililokuwa likijengwa na kuporomoka mchana wa leo katika mtaa wa Eastleigh, jijini Nairobi. Watu kadhaa wanahofiwa kunasa kwenye vifusi vya jumba hilo. Kufikia sasa, mwanamke mmoja ameokolewa, huku kukiwa na hofu kuwa huenda makumi ya watu bado wamekwama chini ya vifusi.

Share: