Kenyans Live

Kenya Kwanza watetea wapiga kura kutoka Uganda

Description (show more)

Viongozi wa Kenya Kwanza wametetea wapiga kura kutoka Uganda, wakisema sheria inawaruhusu iwapo wamejiandikisha na wana vitambulisho. Waziri Kipchumba Murkomen amesema Wakenya walioko nje ya nchi hupata stakabadhi kupitia balozi zao na kuruhusiwa kupiga kura. Haya ni huku viongozi wengine katika eneo la Matungu, Kakamega, wakizidi kukosoa madai ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuhusu wizi wa kura..

Share: