Wajane Kericho wahimizwa kujiunga na makundi ya kijamii kutetea haki zao
Description (show more)
Wajane wameshauriwa kujisajili kwa makundi ya kijamii, ili kuwa na sehemu ya kutetea haki zao. Wakizungumza kule kericho katika hafla ya kuhamasisha jamii kuhusu haki za wajane, wadau katika sekta hiyo wamelalamikia kunyanyaswa kwa wajane, haswa wanapotafuta huduma za serikali. Chama cha mawakili nchini pia kimetaka sheria ipitishwe bungeni kuwalinda wajane hao.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
33:36LIVE: Kurunzi Mashinani II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 465 views
3:40:33Citizen TV Live:
· 28.7K views
59:42LIVE: Lunchtime News with Ben Troy NJue II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.4K views
3:12:50LIVE: Good Morning Kenya II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 1.8K views
37:41🔴LIVE || TV47 News @1pm with Brian Furaha
· 1.3K views
1:53:03🔴LIVE || 90 PLUS
· 4.9K views
1:49:23🔴LIVE || TV47 Saa Tano
· 1.3K views
23:22LIVE: Tamrini naye Sheila Yogo II 2nd November 2026 II www.kbc.co.ke
· 440 views
