Kenyans Live

Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa aitaka upinzani kuiacha IEBC ifanye Kazi yake

Description (show more)

Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, amekashifu wito wa baadhi ya viongozi wa upinzani wanaotaka kituo kikuu cha kujumuishia kura za urais kiondolewe wakati taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Share: