Kenyans Live

Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo jnr ataka ushirikiano wa serikali katika kukabili Ebola

Description (show more)

Gavana wa Makueni Mutula Kilonzo jnr sasa anataka kuwe na ushirikiano mzuri baina ya serikali kuu na serikali za kaunti na hususan kaunti ambazo zina barabara kuu ili kuweke maeneo ya karantini kwa watakaopatikana na virusi vya Ebola. Akizungumza alipofungua hospitali ya Mutiluni eneo bunge la Kilome ,gavana Mutula amesema serikali kuu inafaa kuweka mikakati kuanzisha vituo vya kupima ugonjwa huo kwenye kaunti.

Share: