Kenyans Live

Kaunti ya Narok yaweka mikakati ya kudhibiti athari za el niño

Description (show more)

Mikakati ya kudhibiti athari za El Ninokaunti ya Narok zinaendelea huku wanaomiliki mikahawa na ameneo ya burudani katika bunga ya Maasai mara wakitakiwa kuongeza mikakati ya kuhakikisha kuwa wanaozuru maeneo hayo wako salama

Share: