Kindiki asema juhudi za serikali zimezaa matunda Laikipia
88 viewsYouTube
Description (show more)
Naibu rais Kithure Kindiki amepongeza juhudi za serikali za kiusalama katika eneo la Laikipia Magharibi na eneo jirani la Baringo Kusini, akisema kurejeshwa kwa amani kumewezesha wakazi kurudi nyumbani, mashambani, shuleni na kwenye biashara zao baada ya miaka mingi ya kuhangaishwa na majangili. Viongozi wa kaunti ya Laikipia walioandamana na naibu rais walihimiza serikali kuwekeza katika mbinu za kufungua maeneo ya mashinani kupitia ujenzi wa miundombinu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:44:23Jubilee presidential hopeful Fred Matiang'i outlines his road to State House
· 442 views
49:45SUNDAY LIVE | IN THE HOUSE OF DCP | PART 2
· 2.4K views
4:12LIVE: Sunday Express II 1st November 2026 II www.kbc.co.ke
· 159 views
4:44Rivers in Athi basin bear brunt of pollution asindustrial waste is discharged into rivers
· 84 views
2:17Kenyan truck drivers decry harassment at border points over Ebola concerns
· 149 views
54:05THE 8TH DAY || THE PROMISE OF JUDICIAL INDEPENDENCE: Is the Judiciary Free from Influence?
· 70 views
35:03🔴 TV47 LIVE || Sifa Sunday Experience
· 551 views
43:30🔴 TV47 LIVE || Sifa Sunday Experience || My Testimony
· 857 views
