Mili 443 ya Shakahola bado haijachukuliwa na familia kwa maziko
Description (show more)
Familia na jamaa za waathiriwa wa matukio ya Shakahola ambao hawajachukua miili ya wapendwa wao kwa maziko, wamepewa muda wa siku 21 kuichukua kutoka hospitali ya kaunti ndogo ya Malindi. Wakati wa ziara ya kamati ya seneti kuhusu afya katika hospitali hiyo, afisa mkuu wa idara ya afya katika kaunti ya Kilifi Peter Mwarogo, aliwaambia maseneta kuwa miili 443 iliyopatikana katika msitu wa Shakahola, bado iko kwenye chumba cha kuhifadhi maiti cha hospitali hiyo, na kwamba iwapo jamaa za wathiriwa hawataichukua katika muda huo, mazishi ya pamoja yataandaliwa katika eneo litakalotengwa Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
1:25Nyũmba cia mohoro ciũrĩtio kũheana mohoro mena ũma rĩrĩ twerekeire gĩthurano-inĩ
2:38Governor Kang'ata expands Murang'a Level 5 Hospital to ease congestion
1:24:47Kũmuramura Magathĩti #INooroRuciinĩ
2:11Matokeo ya ligi kuu ya soka ya wanawake nchini
2:54Baraza la wazee lapendekeza kampeni za Amani nchini
1:04Ngabana Wa Machakos Wavinya Ndeti nĩorĩtie akenya kũnyita mbaru Kalonzo
1:45
2:26