Kenyans Live

Wafanyabiashara wa Kenya waelekea Rwanda kwa maonesho ya biashara

Description (show more)

Wafanyabiashara wa Kenya wataonyesha bidhaa zao wakati wa maonesho ya 26 ya biashara ndogo ndogo na za kadri ya Afrika mashariki yatakayoanza tarehe 30 mwezi huu na kumalizika tarehe 8 mwezi novemba mjini Kigali Rwanda.Akiongea wakati wa kuanzisha rasmi safari ya malori yanayosafirisha bidhaa kwa maonesho hayo, katibu wa biashara ndogo ndogo na za kadri Susan Mang’eni alisema zaidi ya wafanyabiashara elfu moja mia mbili kutoka Kenya wataonyesha bidhaa zao za ngozi na za mazao ya kilimo miongoni mwa bidhaa zingine. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: