Kenyans Live

Katibu mkuu wa UDA Hassan Omar ahojiwa na IEBC kuhusu matamshi ya wapiga kura waliokufa

Description (show more)

Kamati ya IEBC kuhusu nidhamu inamhoji katibu mkuu wa UDA hassan omar kuhusu matamshi yake kwamba wafu watapiga kura katika uchaguzi mkuu ujao.

Share: