Kenyans Live

Ulinzi Starlets yaendeleza ushindi wa mfululizo

Description (show more)

Ulinzi Starlets wameendeleza matokeo bora katika Ligi Kuu ya Soka ya Wanawake nchini baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Police Bullets bao moja kwa nunge. Ushindi huo ni wa sita mfululizo kwa Ulinzi Starlets.

Share: