Kenyans Live

KVDA yawahimiza wakazi wa bonde la Kerio kulima chakula kabla ya mvua za El Niño

Description (show more)

Mamlaka ya ustawi na maendeleo katika bonde la kerio KVDA,imewarai wakazi wa bonde la kerio kuzamia kilimo cha uzalishaji chakula mvua kubwa ya Elnino inapotarajiwa.

Share: