Kenyans Live

Uraibu wa dawa za kulevya wazidi kuathiri wakenya

Description (show more)

Kulingana na takwimu kutoka mamlaka ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya, Wakenya zaidi ya wanne kati ya mia moja wanakabiliwa na uraibu wa dawa za kulevya. Wadau sasa wanaonya kuwa uraibu huo umesababisha mamilioni ya fedha kupotea kutokana na waathiriwa kupoteza ajira na kushindwa kuwa na tija katika jamii.

Share: