Kenyans Live

Mahakama ya Mombasa kutoa hukumu katika kesi ya mauaji ya Shakahola [Part 3]

Description (show more)

Jaji wa mahakama kuu jijini Mombasa, Diana Kavedza Mochache ,anatoa hukumu ya kesi ya mauwaji ya Shakahola . Kesi hiyo inamhusisha mhubiri tata Paul Nthenge Mckenzie na wengine walioshtakiwa kwa makosa ya mauwaji ya watu zaidi ya 400 katika msitu wa shakahola kaunti ya kilifi mnamo mwaka wa 2023. kesi hiyo imekuwa ikiendelea tangu wakati huo na leo hukumu inatolewa katika mahakama ya mombasa.

Share: