Kenyans Live

Serikali yatakiwa kusuluhisha utata unaoghubika umiliki ardhi katika ujenzi wa nyumba za bei nafuu

Description (show more)

Baraza la magavana nchini Kenya linatoa wito wa hatua za haraka za kutatua changamoto zinazoghubika utoaji wa hati miliki za ardhi, masuala ya umiliki wa ardhi, mipango ya matumizi ya ardhi na usajili wa maeneo yanayotengewa mpango wa serikali wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: